×

TRA Yanogesha Matembezi na Mbio za Shukrani Kwa Mlipakodi

Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano (kushoto) akizunguzma jambo na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Bw. Richard Kayombo baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya matembezi.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi walioshiriki matembezi na mbio za shukrani kwa mlipakodi.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande (katikati) na kushoto kwake ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki.

 

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande ameongoza matembezi na Mbio za Shukrani kwa Mlipakodi yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yaliyokuwa yakilenga kumshukuru mwananchi ambaye ni mlipa kodi katika mamlaka hiyo na kuifanya serikali kuongeza pato la Taifa.

Leave a Comment