×

Rais Samia Amtumbua Usiku Naibu Waziri Pauline Gekul, Amtoa Wizara Ya Katiba Na Sheria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Pauline Philipo Gekul.

Leave a Comment