
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara
Kabla ya Uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara (Uwekezaji)
Pia, amemteua Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Kabla ya Uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Uteuzi umeanza rasmi tarehe 09 Desemba, 2022

GAMBO NGOMA NZITO, ATAKIWA KURIPOTI KWA DC, UTATA MABEHEWA MAPYA na MGAWO UMEME |FRONT PAGE