×

Rais Samia Ashuhudia Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora – Kigoma) -Video

Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Desemba, 2022 ameshuhudia Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora – Kigoma) katika Ukumbi wa Kikwete Hall – Ikulu jijini Dar es Salaam

Leave a Comment