×

Rushaynah Afunguka Mahusiano Yake Na Manara – “Hana Pesa, Sihitaji Ndoa” -Video

Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah ameweka wazi kuwa mambo yote yanayoendelea katika mitandao ya kijamii ni uongo kwani suala la kumnyima pafyumu  halina ukweli wowote.

Pia ameongeza kwa yeyote anayemuona hajatulia aendelee kuamini hivyo kwani hawezi kumuaminisha kila mtu kuwa yeye ni mtulivu.

Rushayna amesema siyo kweli kwamba alifuata fedha kwa Manara kwa sababu hana fedha na alizonazo ni za kawaida.

 

Leave a Comment