
OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo Februari 7, 2022 amesema kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi hatokuwa Airpot kwani tayari yupo nchini Tunisia.
Wachezaji wa Yanga watawasili kesho nchini Tunisia kwa ajili ya mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir itakayochezwa Jumapili.