×

Sheikh Alhad Mussa Alivyokabidhi Ofisi Kwa Sheikh Mkuu Mpya Wa Dar – Video


Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa leo amekutana uso kwa uso na Sheikh Mpya wa Dar es Salaam aliyeteuliwa baada ya Alhadi kutenguliwa, Walid Omary.

Wawili hao wamekutana kwa ajili ya Sheikh Alhadi kukabidhi ofisi kwa Sheikh Walid aliyeteuliwa kurithi mikoba yake.

Leave a Comment