
Benki ya dunia yataja mafanikio matatu ya Uchumi wa Tanzania nchini ya Rais Samia Suluhu Hassan
1. Tanzania ina mfumuko mdogo kuliko nchi zote za Afrika Mashariki
2 Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wastani wa Afrika Kusini mwa Sahara.
3. Deni la Taifa ni himilivu