Mandonga Ala Shavu La Ubalozi wa Tigo Kili Half International Marathon
Global Publishers February 18, 2023 0 Comments
SHARE THIS:
Bondia aliyejizolea umaarufu wa ghafla hapa nchini, Karim Mandonga ala shavu la ubalozi wa Tigo Kili Half International Marathon itakayofanyika tarehe 26 Februari 2023, katika viwanja vya Muccobs, Moshi, Kilimanjaro #KazaKishua. Mandonga anakuwa mhamasishaji (influencer)/ kwahiyo atakuwa ana hamasisha watu kukimbia kuanzia leo mpaka tarehe 27 Februari, na atakuepo Moshi, Kilimanjaro.