GLOBAL TV imefika nyumbani kwa Osam mtembea kwa miguu aliyeonekana akigongwa na basi la mwendokasi kupitia kamera za CCTV. Mke na mzazi wa Osam wameeleza jinsi walivyozipata taarifa za ajali na namna walivyompata Osam akiwa ICU…
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx