Mama Wa Taifa Rais Samia Abeba Mtoto Zaujia Swalehe Usa River Arusha
Global Publishers March 5, 2023 4,622 views 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amembeba mtoto Zaujia Swalehe (1) mara baada ya kuzungumza na Wananchi wa Usa River Mkoani Arusha. Kushoto ni Mama wa Mtoto huyo Bi. Ashura Mohamed Mkazi wa Usa River, Arumeru Mkoani Arusha tarehe 05 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amembeba mtoto Zaujia Swalehe (1) mara baada ya kuzungumza na Wananchi wa Usa River Mkoani Arusha. Kushoto ni Mama wa Mtoto huyo Bi. Ashura Mohamed Mkazi wa Usa River, Arumeru Mkoani Arusha tarehe 05 Machi, 2023. Picha: Ikulu