×

Mwanamuziki Costa Tsobanoglou Maarufu CostaTitch Afariki Dunia Ghafla

Mwanamuziki Costa Tsobanoglou maarufu CostaTitch (

Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini, Costa Tsobanoglou maarufu CostaTitch (28) amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka jukwaani wakati akifanya shoo, usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Ultra jijini Johannesburg, usiku wa Jumamosi, Machi 11, 2023

Hadi sasa sababu za Kuanguka kwa Mwanamuziki huyo kutoka Afrika Kusini hazijajulikana
Costa ametamba na wimbo wake wa Amapiano wa ‘Big Flexa’ aliouachia Desemba 2021 ambapo hadi Desemba 2022 ulikuwa ni wimbo wa Amapiano ulioangaliwa zaidi

RAIS SAMIA AMPANDISHA CHEO KAMANDA MULIRO KUWA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI wa POLISI…

Leave a Comment