Exlusive Video: Nicole Ajilipua – “Nimevunja Ndoa Ya Harmonize Na Sarah, Anajua Kuhudumia, Nimekula Pesa”
Global Publishers March 26, 2023 4,630 views 0 Comments
SHARE THIS:
Mwigizaji wa Bongo Movie, Video Vixen na soshalaiti mwenye mashabiki wengi mjini, Nicole Berry amefunguka kwamba mwanaume anayekuhudumia na kukuhonga, anatakiwa kuenziwa na kuheshimiwa.