×

Mo Dewji Aipongeza Yanga, Akubali Ubingwa wa Ligi Msimu Huu ni Vigumu – Video


Bosi amekubali kuwa Ubingwa wa Ligi kwenda Simba msimu huu ni Vigumu huku akiona Kuna dalili kubwa za Yanga kuwa Bingwa.

Jambo lingine amesema kuwa Yanga wamewapa upinzani mkubwa na lazima wajipange upya ili waweze kuwashinda..

Majibu ya Dewji kuhusu kuangalia mechi za Yanga, kumuona Mshambuliaji Fiston Mayele na pengine kama anatamani asajiliwe Simba.

“Kwa bahati mbaya niwe mkweli mimi sifuatilii sana mechi za Yanga ”

“Sijamuona kwenye mechi lakini namsikia namuona kwenye mitandao , naona clips zake anavyofunga magoli nampongeza ni Mchezaji mzuri sana na namuombea kila la kheri”

Leave a Comment