Mtoto Akutwa Amefariki Mtoni, Baba Asimulia “Aliniomba Mia” – Video
Global Publishers April 10, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Tukio la kusikitisha la mtoto Adam aliyekutwa kwenye mto akiwa amefariki mkoani Tanga, Global TV imefika eneo la tukio na kuzungumza na mashuhuda pamoja na ndugu wa mtoti huyo walioelezea jinsi mtoto huyo alivyotoka nyumbani mpaka kukumbwa na mauti.