×

Mateso Ya Mtoto Miezi 6 Yatakuliza, Mama Yake Aomba Msaada – Video

Mkazi wa Kibada Jijini Dar es Salaama, Rukia Mohamed Ally (25) ambaye kwa sasa anapitia mateso makali baada ya Mtoto wake Ahmet Swalehe (Miezi Sita) kuzaliwa na tatizo la Kichwa Kikubwa na Mdomo Sungura.

Akisimulia kwa uchungu mama huyo anasema mtoto wake amezaliwa na sura yenye muonekano usiyokuwa wa kawaida ukilingalisha na watoto wengine hivyo anaomba msaada wa Bima ya Afya ili mtoto wake apate matibabu naye Baba wa Mtoto huyo Swalehe Mbaraka amesema anapitia changamoto nyingi juu ya malezi ya mtoto huyo kwa kwa sababu hana kazi ya kumuingizia kipato cha kuweza kuitunza Familia yake NAMBA YA SWALEHE 0784 093 887 NAMBA UKIWA NA SHIDA 0714 207 395

Leave a Comment