×

Exclusive: Meneja Wa Mayele Afunguka Ofa Ya Al Hilal – ”Mayele Ni Mchezaji Wa Yanga!”..

Yasmin Razack, mtaalamu wa masuala ya sheria katika michezo na msimamizi wa mchezaji Fiston Mayele, amesema hawajapata ofa yoyote kutoka kwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan kumtaka mchezaji huyo kama inavyoelezwa mitandaoni.

Yasmin ameyasema hayo wakati akihojiwa na @salehjembefacts ambapo amefungukia mambo mengine kibao.

Leave a Comment