×

Maajabu Makubwa Kutoka Bandari Ya Kwala, Msongamano Wa Malori Na Mizigo Sasa Basi… -Video

Miundombinu wezeshi kwa ajili ya kuhudumia makontena katika Bandari Kavu ya Kwala iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani imekamilika na kuifanya bandari hiyo kuwa tayari kuanza kazi.

Hayo yamesemwa na Meneja Miliki wa Mamlaka ya Bandari, Alexander Ndibalema Mei 27, 2023.

“Mifumo yote ya kimtandao na mawasiliano imeshasimikwa katika Bandari Kavu ya Kwala na kuifanya bandari hii kusomana kimfumo na Bandari ya Dar es Salaam,” amesema.

Leave a Comment