Global TV imefunga safari mpaka Mvumi, Dodoma nyumbani kwa mzee John Malecela, waziri mkuu wa zamani na baba wa marehemu William Malecela (Lemutuz).