×

Makamu wa Rais Dk. Mpango Awatembelea Watoto Yatima Kimara

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wa kituo cha Jerusalem Home of God’s Love For Children kilichopo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Usharika wa Kimara Jijini Dar es salaam wakati walipotembelea kituo hicho leo Tarehe 10 Juni 2023. (Kushoto kwa Makamu wa Rais ni Mchungaji Kiongozi wa Usharika huo Wibroad Matsai)

 

 

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na wachungaji, walezi pamoja na watoto yatima wa kituo cha Jerusalem Home of God’s Love For Children kilichopo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Usharika wa Kimara Jijini Dar es salaam. Tarehe 10 Juni 2023.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akimlisha keki mtoto Baraka Bulenga wakati alipotembelea kituo cha watoto yatima cha Jerusalem Home of God’s Love For Children kilichopo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Usharika wa Kimara Jijini Dar es salaam. Tarehe 10 Juni 2023.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akimlisha keki mtoto Mercy Alex wakati alipotembelea kituo cha watoto yatima cha Jerusalem Home of God’s Love For Children kilichopo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Usharika wa Kimara Jijini Dar es salaam. Tarehe 10 Juni 2023.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakikata keki pamoja na watoto Mercy Alex na Baraka Bulenga wakati walipotembelea kituo cha watoto yatima cha Jerusalem Home of God’s Love For Children kilichopo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Usharika wa Kimara Jijini Dar es salaam. Tarehe 10 Juni 2023.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwasili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Usharika wa Kimara Jijini Dar es salaam kuwatembelea watoto yatima wanaolelewa na Kanisa hilo katika kituo cha Jerusalem Home of God’s Love For Children. Tarehe 10 Juni 2023.

Leave a Comment