
Mfanyabiashara maarufu wa vitu mbalimbali hapa Bongo Jenifer Jovin ‘Niffer’ ameweka wazi kuwa Ali Kiba ndiye mtu pekee ambaye humueleza matatizo yake kwani anamuelekeza namna ya kuyatatua.
Niffer ameongeza kuwa kwa sasa hajali maneno yanayoendelea mitandaoni yeye anachojali ni uhusiano wake mzuri na Kiba na siyo vinginevyo.