×

Rais Mstaafu Mhe. Kikwete, Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Watemebelea Banda la TRA Sabasaba

Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ametembelea kliniki ya Biashara na kupata nafasi ya kusalimiana na Maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanaoshiriki katika Kliniki hiyo iliyomo ndani ya  Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara   yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo barabara ya Kilwa,  jijini Dar es Salaam leo tarehe 06. 07. 2023.

Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Bw. Martine Mbwana akipata Maelezo kutoka kwa Maofisa wa TRA juuu ya masuala mbali mbali ya kodi katika  Banda la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)  katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara   yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo barabara ya Kilwa,  jijini Dar es Salaam leo tarehe 04. 07. 2023. “Tanzania Mahali Sahihi pa Biashara na Uwekezaji”.

Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ametembelea kliniki ya Biashara na kupata nafasi ya kusalimiana na Maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanaoshiriki katika Kliniki hiyo iliyomo ndani ya  Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara   yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo barabara ya Kilwa,  jijini Dar es Salaam leo tarehe 06. 07. 2023.
Sambamba na Mstaafu Kikwete pia Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Bw. Martine Mbwana aliweza kutembelea Kliniki hiyo na kupatiwa Maelezo kutoka kwa Maofisa wa TRA juuu ya masuala mbali mbali ya kodi katika  Banda la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Leave a Comment