×

Rais Samia: Zaidi Ya 60% Ya Watu Wa Afrika Ni Vijana Chini Ya Miaka 25 – Video

Rais wa Samia Suluhu Hassan ametaja takwimu hizo wakati akishiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam

Amesema “Afrika ndilo Bara lenye Vijana wengi zaidi na takwimu zinaonesha ifikapo Mwaka 2050, Afrika itatoa Nchi 10 zenye idadi kubwa ya Vijana Duniani kwa mujibu wa World Economic Forum na ikikadiriwa kuwa ikifika Mwaka 2030 Afrika itakuwa na 42% ya Vijana wote Duniani”

Leave a Comment