×

#Exclusive: Jesca Kitambaa Cheupe Afichua Kufilisika, Kulala Rumande Kisa Baa – Video

Mwanadada Jessica Kikumbi @jessicakikumbi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kitambaa Cheupe inayomiliki baa kubwa jijini Dar es Salaam, amesema baadhi ya watu wanadai kuwa yeye ni mwanachama wa Freemason huku wengine wakidai anatumia ushirikina kwenye biashara zake lakini mwenyewe hajali.

Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na Global TV na kueleza kuwa kujua vipaumbele na kuviwekea mkazo maishani ndiyo siri ya mafanikio yake.

Leave a Comment