Kupitia Kipindi cha #Konayamtaa, kijana Masoud Shaaban @therealwhitekid amefunguka jambo linaloshangaza kwamba licha ya kuwa na ulemavu wa ngozi, kijana huyo alizaliwa akiwa kawaida mpaka alipofikisha umri wa miaka miwili ambapo ngozi yake ilianza kubadilika mpaka akawa na mwonekano alionao sasa.