×

Mfanyabiashara wa Mizigo: Serikali Ina Nia Nzuri Mno Uwekezaji Bandarini – Video

Mfanyabiashara wa kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kwa njia ya anga na maji, Mzee Ahmed ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Bashley Express Air Cargo @bashleyexpress amesema serikali ina nia nzuri kuleta wawekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam na wao kama wafanyabiashara wanaunga mkono jambo hilo.

Amesema anaamini serikali ilitazama vipengele vyote muhimu kabla ya kufikiria kuwaleta wawekezaji hao kwa lengo la kukuza uchumi wa nchi.

Leave a Comment