×

Inasikitisha! Sadick Aomba Kusadiwa Hajaliona Jua Tangu 2015 Yupo Kitandani Hoi – Video


Sadick Semkuva, yupo kitandani tangu mwaka 2016, akiwa amepooza mwili mzima kiasi cha kushindwa kufanya chochote mpaka asaidiwe.

Anasema jinsi alivyokumbwa na maradhi hayo, alianza kujisikia mwili kukosa nguvu, hali ikaendelea hivyo mpaka akawa ni mtu wa kubebwa.

Alipopelekwa hospitali, awali majibu yalionesha kwamba hana ugonjwa wowote lakini baadaye, akaambiwa ana tatizo la umeme mwilini.

Maombi yake ni shilingi milioni 4 za matibabu ili aweze kusimama tena na kuendelea na maisha yake.

Leave a Comment