Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir amefiwa na mwanae Shafii Abubakar Zubeir.
Msiba uko Kinondoni Mtaa wa Ufipa. Maziko yatafanyika Korogwe Kwamdolwa Tarehe 30/08/2023 baada ya swala ya Adhuhuri.