Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
Balozi Siwa anachukua nafasi ya Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.