Mbunge wa Sengerema Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao, ametia neno katika utezi alioufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kile anachodai kuwa baadhi ya Wizara zilikuwa zimepooza na hivyo baada ya Rais Samia kufanya mabadiliko hayo ni wazi kwamba matokeo chanya yatapatikana kwani Rais Samia amechagua Mawaziri vijana na wachapa kazi.