×

Rais Samia Amteua Dotto Biteko Kuwa Naibu Waziri Mkuu Na Waziri Wa Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dotto Biteko

Rais Samia Suluhu amemteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Katika nafasi ya Waziri wa Nishati, Biteko atachukua nafasi ya January Makamba aliyehamishwa Wizara
Katika nafasi ya Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko atakuwa akishughulikia masuala ya uratibu wa shughuli za Serikali
Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Biteko alikuwa ni Waziri wa Madini.

Leave a Comment