
Rais Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akiwaapisha viongozi wateule Ikulu dogo ya Tunguu, Zanzibar, Septemba Mosi, 2023 ambapo amesisitiza “Sisi ni Watumishi wa Watu, mahusiano ni jambo zuri sana. Ukijipandisha unataka kukaribia Mbinguni hautatumikia watu, upole si ujinga.”