×

Waziri Mkuu Apongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko baada ya kuapishwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Ndogo Zanzibar Septemba 1, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amempongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko baada ya kuapishwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Ndogo Zanzibar Septemba 1, 2023.

TAZAMA NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO ALIVYOAPA MARA MBILI, APIGIWA MAKOFI YAKUTOSHA…

Leave a Comment