×

UEFA 2022/23: Guardiola Kocha Bora, Haaland Mchezaji Bora

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha bora kwa timu za Wanaume kwa msimu uliopita baada ya kuiwezesha timu yake kutwaa Ubingwa

Aidha, Mshambuliaji wa timu hiyo, Erling Haaland ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume kwa msimu uliopita. Alikuwa Mfungaji Bora akiwa na Magoli 12

MAHAKAMA YAMFUNGA MIAKA 20 MKURUGENZI JIJI la ARUSHA ALIYETUMBULIWA na WAZIRI MKUU na WENZAKE WAWILI

Leave a Comment