×

#Exclusive: Dellah Mtanzania Aliyeweka Mabilioni Kwenye Biashara Ya Magari – Video

Edwin Charles Dellah ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na Mkurugenzi wa Kampuni ya Dellah Car Traders inayohusika na uagizaji wa magari kutoka kutoka China, Uingereza (UK), Japan, Dubai, Japan na Ujerumani kwa bei nafuu.

Akipiga stori na Global TV kuhusu changamoto anazokutana nazo katika biashara yake, Dellah ameeleza kuwa mafanikio ni mengi kuliko changamoto kwa sababu wateja wanaoagiza magari kwake, hupata magari yao kwa wakati na kuridhishwa na huduma.

Hata hivyo, ameeleza kuwa amewahi kukumbana na changamoto kadhaa, ikiwemo kuwekewa unga mweusi ofisini kwake kwa imani za kishirikina, jambo lililomyumbisha kwa kiasi kikubwa.

Leave a Comment