×

Video: Daktari Bingwa Atoa Somo Ugonjwa Wa Parkinson “Watu Milioni 10 Wanateseka”

Daktari bingwa wa ubongo na mishipa ya fahamu kutoka Hospitali ya Saifee, wameendelea na kampeni yao ya kutoa elimu kuhusu ugonjwa wa Parkinson kwa watoa huduma juu ya namna ya kuwasaidia watu wanaosumbuliwa na ugonjwa huo.

Leave a Comment