×

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana na Profesa J nyumbani kwake Kawe

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Septemba 09, 2023 ametembelewa na aliyekuwa Mbunge wa Mikumi ambaye pia ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva Joseph Haule maarufu kama Profesa J nyumbani kwake Kawe jijini Dar es salaam.

“Ni furaha iliyoje kumuona afya yake imeimarika.Hakika Mungu ni mkubwa”, amesema Dkt Kikwete wakati akiongea na msanii huyo aliyeugua kwa muda mrefu kabla ya kupata nafuu baadae.

#EXCLUSIVE: MAMA KANUMBA ATANGAZA KUMSAMEHE LULU -”SHETANI AMESHINDWA, KARIBU TENA KWENYE FAMILIA”

Leave a Comment