×

Tetemeko la Morocco lauwa zaidi ya watu 2,000, huku Algeria yafungua anga yake

Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Morocco imeeleza Watu 2,012 wamefariki Dunia huku wengine 2,059 wakijeruhiwa na 1,404 kati yao wako katika hali mbaya kiafya

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema zaidi ya Watu 300,000 wameathirika na Tetemeko hilo lililopiga maeneo kadhaa ya Jiji la Marrakech ikiwemo Kijiji cha Asni ambacho inaelezwa karibu nyumba zote zimeharibika

Hilo ni Tetemeko la pili kusababisha maafa makubwa ndani ya mwaka mmoja ambapo Miezi 7 iliyopita, takriban watu 50,000 walipoteza maisha kwa kupigwa na Tetemeko Nchini Uturuki

#EXCLUSIVE: MAMA KANUMBA ATANGAZA KUMSAMEHE LULU -”SHETANI AMESHINDWA, KARIBU TENA KWENYE FAMILIA”

Leave a Comment