×

SIMANZI: Isack Gamba Aacha Vilio ITV/RADIO ONE, Wafanyakazi Wafunguka – Video

Global Tv imezungumza na walioahi kufanya kazi na Isaac Gamba katika ofisi za ITV/Radio One jijini Dar es salaam ambapo kwa nyakati tofauti wamezungumzia kushtushwa na kifo cha Mtangazaji huyo.