Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Oktoba 3, 2023 ameteua na kufanya mabadiliko ya uteuzi kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna TANAPA kama ifatavyo:-