DOHA, Qatar: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar tarehe 02 Oktoba, 2023.