Rais Samia Ashiriki Kikao cha CCM Shina Namba 1 Chamwino
Global Publishers May 8, 2026 0 Comments
SHARE THIS:
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Shina namba 1 CCM Chamwino akishiriki kikao cha kawaida kilichoitishwa na Balozi wa Shina hilo Bi. Paulina Mkasanga, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Shina namba 1 CCM Chamwino, ameshiriki kikao cha kawaida cha shina hilo kilichoitishwa na Balozi wa Shina, Bi. Paulina Mkasanga.
Kikao hicho kimefanyika katika eneo la Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Shina namba 1 CCM Chamwino kwenye kikao cha kawaida kilichoitishwa na Balozi wa Shina hilo Bi. Paulina Mkasanga, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026.Matukio mbalimbali katika picha wakati wa Kikao cha Shina namba 1 ambapo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Majirani na Wananchi na Wanachama wa CCM waliojitokeza kwa wingi kumsalimu wakati akitoka kwenye kikao cha Shina namba 1 CCM Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026.