×

Mkazi Wa Mwanza Akabidhiwa Hundi Baada Ya Ushindi Wa Serengeti Lite Maokoto Ndani Ya Kizibo

Meneja wa Serengeti Breweries mkoa wa Mwanza James Alphaxard, akizungumza na wateja wa vinywaji ya kampuni hiyo ya bia kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho (kulia) ni mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza, Melina Francis, ambapo alikabidhiwa mfano wa hundi ya Shilingi laki tano.
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza, Melina Francis, akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Meneja wa Serengeti Breweries mkoa wa Mwanza, James Alphaxard (kushoto) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho.

 

Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza, Melina Francis, akionesha kwa furaha meseji ya muamala kwenye simu yake baada ya kutumiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited(SBL) .

Leave a Comment