
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilosa na Waziri wa Fedha katika serikali ya awamu ya nne, Mustafa Mkulo amefariki dunia usiku wa jana, Mei 3, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa Mkulo anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao, Kimamba, Kilosa mkoani Morogoro.
Taarifa zaidi zitakujia.