×

Rais Samia Suluhu Hassan akabidhi nyumba kwa Mama Janeth Magufuli.

Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi nyumba kwa Mama Janeth Magufuli, mjane wa hayati Dk. John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania.

Rais Samia amekabidhi nyumba hiyo kwenye hafla fupi iliyofanyika kwenye nyumba hiyo ya kuishi iliyopo Wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali kwa ajili ya familia ya Magufuli kwa mujibu wa sheria, Jijini Dar es Salaam

Leave a Comment