Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki maandamano hayo.