
Rais Samia Suluhu Hassan azungumzia baadhi ya vipaumbele vya Tanzania aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili Masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Mkoani Arusha.
Rais Samia amesema kuwa lengo la kutunza mazingira ili kupunguza umaskini katika nchi za Afrika Mashariki kwa kutumia mazingira kama moja ya chanzo cha mapato.


