×

Meridianbet Yatoa Msaada kwa Wajasiriamali Mbagala Rangi Tatu

Mitaa ya Mbagala Rangi Tatu jijini Dar-es-salaam leo imeneemeka baada ya kufikiwa na ile kampuni bingwa kabisa katika michezo ya kubashiri, Ambapo shughuli ilikua moja tu eneo ni kutoa msaada kwa wajasiriamali wa eneo hilo.

Wakazi wa eneo hilo leo wameweza kupatiwa Miamvuli kutoka Meridianbet ambapo itakwenda kuwasaidia haswa kwenye vipindi tofauti tofauti,         Kwani Miamvuli itaweza kuwakinga katika katika kipindi cha mvua na kipindi cha jua kali vilevile.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Kuhakikisha kilichopatikana kwenye kampuni kinarudia kwa jamii iliyowazunguka imekua kawaida sasa kwa Meridianbet, Kwani wamekua wakifanya hivyo kwa miaka nenda miaka rudi kwani wanaamini jamii ndio inawafanya kuwepo walipo hivo lazima warudishe kwenye jamii.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hilo alisema Tunayo furaha kubwa kufika hapa Mbagala Rangi Tatu na kutoa msaada wa miamvuli kwenu kwani tunaaamini vifaa hivi vitakwenda kuwasaidia katika kutimiza majukumu yenu ya kila siku

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Ukiachana mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram kuzungumza, Lakini moja ya mjasiriamali wa eneo hilo alipata nafasi ya kuzungumza na kushukuru kwa msaada walioupata “Tunapenda kuishukuru sana Meridianbet kwa kutukumbuka na kufika hapa kutupatia Miamvuli ambayo itakwenda kutusaidia kwenye shughuli zetu za kila siku”

 

Leave a Comment