Rais Samia Akishiriki Ibada Maalum Ya Kumuingiza Kazini Mkuu Wa KKKT Ask. Malasusa – (Video +Picha)
Global Publishers January 21, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kabla ya kuanza kwa Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, katika Viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Rais Samia akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa wakati wa Ibada ya kuingizwa kazini kwa Mkuu huyo wa Kanisa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.Rais Samia akipeana mkono na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa baada ya kutambulishwa na Mkuu wa Kanisa hilo Mstaafu Askofu Dkt. Fredrick Shoo katika Kanisa la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.Rais Samia akimkabidhi zawadi ya picha Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuingizwa kazini wakati wa Ibada Maalum iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.Rais Samia akimpongeza Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuingizwa kazini wakati wa Ibada Maalum iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.Rais Samia akizungumza na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa baada ya kutambulishwa na Mkuu wa Kanisa hilo Mstaafu Askofu Dkt. Fredrick Shoo katika Kanisa la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.Rais Samia akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024Rais Samia akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024Rais Samia akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.Wachungaji, wageni mbalimbali pamoja na Washarika wa Kanisa Kuu la Azania Front wakishiriki Ibada Maalum ya Kumuingiza Kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa katika Kanisa hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024Kwaya mbalimbali zikitumbuiza wakati wa Ibada Maalum ya Kumuingiza Kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza Kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024