Rais Samia Akagua Gwaride la Heshima na Kupigiwa Mizinga Indonesia
Global Publishers January 25, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Rais Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima, akiwa ameongozana na Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo.
Rais Samia Suluhu Hassan, amekagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa mapokezi yake rasmi, akiwa ameambatana na Rais wa jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo, leo Januari 25, 2023.
Mbali na kukagua gwaride hilo, pia Rais Samia amepanda mti wa kumbukumbu katika makazi ya Rais Widodo, Bogor Presidential Palace.
Rais Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima, akiwa ameongozana na Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo.Rais Samia Suluhu Hassan akinawishwa mikono na Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo mara baada ya kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace Januari 25,2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akinawishwa mikono na Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo mara baada ya kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace Januari 25,2024.